Nifanyeje ili kutuliza akili na roho kumuacha huyu dada isiwepo?

Heshima kama zote kwenu wana JF.

Umri wangu sio mkubwa sana ila ngazi ya tatu naanza kuipanda soon.

Kwenye miaka yangu ya 20s nimekuwa mtu wa kubadilisha wadada sijawahi kuwa na mahusiano yaliyokaa zaidi ya miezi miwili maana nilikuwa mzinguaji sana hasa nikishapewa tunda akili inanituma nihamie kwa mdada mwingine.

Kwa sasa nimejitafakari mwenyewe nikaona ni vyema nianzishe mahusiano ya kueleweka na mtu mmoja ikiwezekana yapelekee ndoa.

Mdada nilienzisha nae mahusiano kiukweli anaonyesha kunipenda sana, tunaelewana na mimi pia nampenda.

Tatizo ana mtoto mmoja, baba mtoto alimkana mtoto akamwambia mdada na familia yake wafate mambo yao waache kumfatilia ye hamtambui huyo mtoto.

Pia ni wa kabila fulani la kaskazini huwa wanasemwa eti wagawaji sana.

Mimi sio mtu wa kusikiliza maneno ya watu sana ila haya ninayoambiwa na watu wa karibu kisa kuwa na mahusiano na huyu dada yananipa hofu na wasiwasi, yani akili na roho havijatulia kabisa kwasababu mdada sitaki kumuacha wala nini mwamba nimefall in love.

Mfano wa maneno ninayoambiwa
"Hapo baba mtoto atakuja kuomba tu msamaha atasamehewa ataendelea kupewa mzigo kama kawaida"

"Huyo hakupendi anatafuta sehemu ya kujishikiza na wewe ndo umedakwa kirahisi" ( huyu tena ni mwanamke na hapa ndo niliogopa zaidi).

"Hilo kabila la huko mhhh.. haya ni wewe lakini na maamuzi yako"

" Ila huwezi kujua wapo waliooa wenye watoto na wengine hilo hilo kabila ila wapo kwenye ndoa zao na mambo yanaenda" (bro mmoja alinitia moyo kidogo).

Wakuu niko kwenye dilemma sio siri anxiety inaniingia. Nifanyeje ili kutuliza akili an roho kumuacha huyu dada isiwe option kwanza tafadhali.
Nilishakuwa na single mama tulipendana mpaka nikaendaa kwao nikamlipia mahari guess what akaanza niletea dharau mara apigiwa simu na jamaa ake nikimuuliza vipi naambiwa ni mzazi mwenzangu anaulizia mambo ya mtoto wao uzalendo ukanishinda nikapiga chini
 
Mke atakuwa wako, atakupenda wewe, atakufurahisha wewe, atakuudhi wewe, akizingua atakuchosha wewe, kama ni msaliti atakusaliti wewe, etc. etc.
Do what you think is best for you, usifanye maamuzi kwa ushawishi wa kina anonymous. Siku ukija kulia hitojua umlaumu nani.

Kama unaona anakufaa, muoe, kama unaona hakufai, muache kila mmoja wenu atafute anaemfaa!
 
Duh hii hatari nazidi kutishika tu. Ila ngoja ushauri wenu nichanganye na mawazo yangu
 
Sina hata mmoja yani, ndo kwanza kichwa kinawaza nipate nae
Una akili timamu kijana?

Kwa uo umri wako hakuna atakae kua upande wako kwenye hio ndoa unayojifanya umekua sharuk Khan sio family yako wala jamii yako

Puuzia sana ila kuna siku utalia na kusaga meno una miaka 2 mpaka 3 ndani ya iyo ndoa unayotaka kuingia after that time utaanza kujutia maamuzi uliyo yafanya

Washilikishe wazee wako baba na babu na wajomba zako hilo swala ninauhakika a hundred percent watakuzaba na makofi

Ila Kwa sababu kusikia kwa kenge mpaka damu itoke go ahead vaa iyo suicide bomb vest siku iki exprode usilie humu kwa sababu Kila MTU atakwambia Big naaa kwa single Mom even your parents

Kwa umri wa early 30s huwezi ku handle difficulty utakazo kutakazo kutana nazo kwa single Mom ungekua na umri Kwanzia 45 na unawatoto huwezi kukutana na maneno ya kipingamizi ya kuoa single Mom
 
Nimekuelewa mkuu. Nadhani wasiwasi nilionao ni dalili kwamba tuakili tumo tumo. .
 
If it's not clear Yes then it's very clear No

Hilo ndio jibu usisikilize mawazo ya wanawake humu ndani na wanaume Feminist utapotea

Jipe muda wa kujifunza zaidi kuhusu masculinity change your mentality. Transform yourself from boy to a Man spend muda wako unao kua off job kaa na wazee wako kuna elimu kubwa tunaikosa vijana wa Sasa hivi kwa sababu hatujajifunza misingi from our ancestors
 
Sikiliza moyo wako as long as unauhakika mnapenda na mwanamkee ana kuheshimu weka Kando propaganda zote unazozikia na kuzihisi
 
Sijui kwa nini mimi sijawahi kuomba ushauri humu kuhusu suala la mahusiano, wala sioni umuhimu wa kuomba ushauri kwenye mambo ya mahusiano, najihisi tu kuwa mahusiano ni ya watu wawili na maamuzi ni yangu mwenyewe lolote litakalonikuta huwa nishaamua kukubaliana nalo, au nakosea waungwana?
 
Duh hii hatari nazidi kutishika tu. Ila ngoja ushauri wenu nichanganye na mawazo yangu
Mzee kama una roho nyepesi unaweza kuvumilia una oa me nililipa mpka na mahari nikamuacha sikwenda kudai ata nikachimba wewe uko na mwanamke jamaa ake anampigia unavumilia isitoshe ndo unakuta anaongea mbele ako usiumie we nilisepa sikutaka stress kama izo
 
O
Una akili timamu kijana?

Kwa uo umri wako hakuna atakae kua upande wako kwenye hio ndoa unayojifanya umekua sharuk Khan sio family yako wala jamii yako

Puuzia sana ila kuna siku utalia na kusaga meno una miaka 2 mpaka 3 ndani ya iyo ndoa unayotaka kuingia after that time utaanza kujutia maamuzi uliyo yafanya

Washilikishe wazee wako baba na babu na wajomba zako hilo swala ninauhakika a hundred percent watakuzaba na makofi

Ila Kwa sababu kusikia kwa kenge mpaka damu itoke go ahead vaa iyo suicide bomb vest siku iki exprode usilie humu kwa sababu Kila MTU atakwambia Big naaa kwa single Mom even your parents

Kwa umri wa early 30s huwezi ku handle difficulty utakazo kutakazo kutana nazo kwa single Mom ungekua na umri Kwanzia 45 na unawatoto huwezi kukutana na maneno ya kipingamizi ya kuoa single Mom
Oi ata mimi wakati naambiwa nilikuwa sisiki ila kuna ile unakaa unajishtukia naoaje single maza apo ukikaa unaangalia family yako aikubariki na hiyo swala unakuwa ujiamini amini 😀😀😀
 
Mke atakuwa wako, atakupenda wewe, atakufurahisha wewe, atakuudhi wewe, akizingua atakuchosha wewe, kama ni msaliti atakusaliti wewe, etc. etc.
Do what you think is best for you, usifanye maamuzi kwa ushawishi wa kina anonymous. Siku ukija kulia hitojua umlaumu nani.

Kama unaona anakufaa, muoe, kama unaona hakufai, muache kila mmoja wenu atafute anaemfaa!
Facts kbs! Mwishowe atachnganykiw tu kikubw ni kuangalia situation, relationship ikoje na kama Kuna mutual love. It's all about how you feel.
 
Heshima kama zote kwenu wana JF.

Umri wangu sio mkubwa sana ila ngazi ya tatu naanza kuipanda soon.

Kwenye miaka yangu ya 20s nimekuwa mtu wa kubadilisha wadada sijawahi kuwa na mahusiano yaliyokaa zaidi ya miezi miwili maana nilikuwa mzinguaji sana hasa nikishapewa tunda akili inanituma nihamie kwa mdada mwingine.

Kwa sasa nimejitafakari mwenyewe nikaona ni vyema nianzishe mahusiano ya kueleweka na mtu mmoja ikiwezekana yapelekee ndoa.

Mdada nilienzisha nae mahusiano kiukweli anaonyesha kunipenda sana, tunaelewana na mimi pia nampenda.

Tatizo ana mtoto mmoja, baba mtoto alimkana mtoto akamwambia mdada na familia yake wafate mambo yao waache kumfatilia ye hamtambui huyo mtoto.

Pia ni wa kabila fulani la kaskazini huwa wanasemwa eti wagawaji sana.

Mimi sio mtu wa kusikiliza maneno ya watu sana ila haya ninayoambiwa na watu wa karibu kisa kuwa na mahusiano na huyu dada yananipa hofu na wasiwasi, yani akili na roho havijatulia kabisa kwasababu mdada sitaki kumuacha wala nini mwamba nimefall in love.

Mfano wa maneno ninayoambiwa
"Hapo baba mtoto atakuja kuomba tu msamaha atasamehewa ataendelea kupewa mzigo kama kawaida"

"Huyo hakupendi anatafuta sehemu ya kujishikiza na wewe ndo umedakwa kirahisi" ( huyu tena ni mwanamke na hapa ndo niliogopa zaidi).

"Hilo kabila la huko mhhh.. haya ni wewe lakini na maamuzi yako"

" Ila huwezi kujua wapo waliooa wenye watoto na wengine hilo hilo kabila ila wapo kwenye ndoa zao na mambo yanaenda" (bro mmoja alinitia moyo kidogo).

Wakuu niko kwenye dilemma sio siri anxiety inaniingia. Nifanyeje ili kutuliza akili an roho kumuacha huyu dada isiwe option kwanza tafadhali.
Wewe uliona wapi mechi inaanza moja bila
 
Dogo umenikumbusha mbali sana. Mimi kabla ya kuoa kuna mmama alimfuata akaniambia hilo Kabila la Mara(xxxx) sio wa kuoa atakusumbua sana. Nilitia pamba masikio nikaona huyo mama miyeyusho. Kilichonitokea nikakumbuka maneno yake. Wahenga waache waheshimiwe,,, lisemwalo lipo.....
 
Heshima kama zote kwenu wana JF.

Umri wangu sio mkubwa sana ila ngazi ya tatu naanza kuipanda soon.

Kwenye miaka yangu ya 20s nimekuwa mtu wa kubadilisha wadada sijawahi kuwa na mahusiano yaliyokaa zaidi ya miezi miwili maana nilikuwa mzinguaji sana hasa nikishapewa tunda akili inanituma nihamie kwa mdada mwingine.

Kwa sasa nimejitafakari mwenyewe nikaona ni vyema nianzishe mahusiano ya kueleweka na mtu mmoja ikiwezekana yapelekee ndoa.

Mdada nilienzisha nae mahusiano kiukweli anaonyesha kunipenda sana, tunaelewana na mimi pia nampenda.

Tatizo ana mtoto mmoja, baba mtoto alimkana mtoto akamwambia mdada na familia yake wafate mambo yao waache kumfatilia ye hamtambui huyo mtoto.

Pia ni wa kabila fulani la kaskazini huwa wanasemwa eti wagawaji sana.

Mimi sio mtu wa kusikiliza maneno ya watu sana ila haya ninayoambiwa na watu wa karibu kisa kuwa na mahusiano na huyu dada yananipa hofu na wasiwasi, yani akili na roho havijatulia kabisa kwasababu mdada sitaki kumuacha wala nini mwamba nimefall in love.

Mfano wa maneno ninayoambiwa
"Hapo baba mtoto atakuja kuomba tu msamaha atasamehewa ataendelea kupewa mzigo kama kawaida"

"Huyo hakupendi anatafuta sehemu ya kujishikiza na wewe ndo umedakwa kirahisi" ( huyu tena ni mwanamke na hapa ndo niliogopa zaidi).

"Hilo kabila la huko mhhh.. haya ni wewe lakini na maamuzi yako"

" Ila huwezi kujua wapo waliooa wenye watoto na wengine hilo hilo kabila ila wapo kwenye ndoa zao na mambo yanaenda" (bro mmoja alinitia moyo kidogo).

Wakuu niko kwenye dilemma sio siri anxiety inaniingia. Nifanyeje ili kutuliza akili an roho kumuacha huyu dada isiwe option kwanza tafadhali.
Ukweli mchungu achana nae Tu . Utanishukuru baadae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom