Nifanyeje halidhiki kimapenzi

Badili mazingira..! sio kila siku mnafanyia stoo bana!

next time akitaka gem, mwende coco beach kwenye upepo mwanana!

ila uwe mwangalifu, kule kuna maaskari..!
 
Inawezekana halidhiki lakini labda anaridhika kiswahili ngumu sana.
 
mwulize umfanyeje ndio aridhike?? akikwambia fuata alichokisema!
 
Jalibu kujua kwa style ipi unaweza ukamrizisha mpaka mwisho,mbona kwa ulimi tu demu anafika kileleni,c lazima kusex.
 
wengine hata wafanyiwe nini hawafikishi mwenge kileleni. yupo katika ile 45%ya wanawake wasiofika huko. Ukishajua hivyo wala usihangaike coz atachapwa sana. seeking for satisfaction..
 
Ukiona mtu anasema kibamia si tatizo jua huyo anakibamia
 
wengine hata wafanyiwe nini hawafikishi mwenge kileleni. yupo katika ile 45%ya wanawake wasiofika huko. Ukishajua hivyo wala usihangaike coz atachapwa sana. seeking for satisfaction..

Ivi kuna wasiofika kabisa au kutojua kwenu ndo sababu yawao kutofika???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…