susan appie
Member
- May 8, 2014
- 15
- 1
Habari wana JF,
Mi ni mgeni humu kuna kitu kina nitatiza nina mahusiano na mtu lakini kuna vitu niliobserve nikagundua ameweka mbele zaidi maswala ya sex na haonikani kupanga maswala ya maisha na mimi yaani huwa hazungumzii malengo ya mahusiano yetu kwa kusema kwamba bado muda namuamini sana Mungu napenda kukaa kwenye njia zake ili awe msaada kwenye maisha yangu nilijaribu kuachana na yeye na hakuona shida tatizo nashindwa kumsahau namkumbuka na kupata shida sana najikuta narudi kule kule japo sipendi nifanye nini?