mimba ina mengi,we mvumilie tu....
hiyo miezi 9 sio hata mingi
Kumpiga siwezi....kukimbia nyumba siwezi....kumwacha siwezi maana nampenda zaidi ya nafsi yangu...nabaki kuumia tu kiti changu ofisini ndokimegeuka kitanda changu....maana usiku silali nikilala cha moto nakiona ety nipige nae story usiku wa manane kweli?....nikichelewa kurudi hata dk.10 basi kanuna ....mala anataka kuku mara mayai ya bata ukimletea hataki kula aaaah ......haaah wanawake mtatuua na hizo mimba jamani@ nilikuwa nasimuliwa tu ss najionea kwangu so tired mimba gani hiyo inantesa hv....najuta kukupa mimba@
kuchapa uchape wewe, kuchuja uchuje wewe, kitambi aote yeyeeee..... mateso iwe kwakooo...majanga.
mmmmmh best ya mayai na bata ninaweza kukubali lakini ya kupiga story usiku wa masaba na matisa hapana hiyo ni too much
kitambi kilijiotea tu......bila yeye kuingiza mkonga wake kule
kitambi kingeota tuuuuu
xaxa kama yeye kaoteshwa uyoga kwanini majanga amuangushie mdau? nataka kachori...ukileta sitakii, nataka miguu ya kuku na utumbo, ukileta mie sitakii.....mbona majanga tena majanga.
Na yeye mbona aliambiwa atazaa kwa shida, lakini full kutaka raha... Mara mayai, mara kuku, mara sijui nini... Lakini ukileta hali..^^
Mlisema wenyewe 'kwa shida na raha'
timiza sasa.
^^
sasa hapo tunamwambiaje best!!!!
aendelee kulala ofisin,ajitahidi though kipindi
hiki ndio most men wanajitaftiaga nyumba ndogo