Habari ndugu najamaa nimekua katika wakati mgumu sana nibaada ya kutazama sex kwa muda mrefu na kujichua uume umekua legelege sana na unasimama kwa tabu na pindi unapo simama au unapo kua na dalili zakutaka kusimama basi unatoa kama manii nimekua nahifu kubwa nifanye nini ili kurudia ktk hali yakawaida?
Sent from my TECNO-J8 using
JamiiForums mobile app