Mchawi ni mtaji na janga kubwa, kasema hana mtaji.Umiza kichwa anza kujiajiri
Usikate tamaa, there is hopeNimemaliza chuo tangu 2019, nimekuwa niki apply kazi kupitia ajira leo, na sehemu mbali mbali zinazotangazwa, ila hadi sasa ivi sijabahatika kuajiriwa.
Sasa sijui ni hii course niliyosomea, au ni nini? Nimesomea International Relations, natamani hata nifanye biashara ili niweze kujikwamua shida mtaji nao ni swala gumu,maana familia yangu hatuna uwezo kivile, na nilisomeshwa ili niwasaidie wazazi, ila ndio niko nyumban.
Mwaka huu mwenye kunisaidia hata kwa mawazo tuu ili nipate ajira nitashukuru sana
Hiyo program uliyosomea inahitaji koneksheni kuliko hata zile za Jeshi Kwa waliojifolea. Kuna ndugu yangu kamaliza hiyo international relations tangu 2015 mpaka Sasa anasugua benchi tu. Ameamua kuomba kufundisha Somo la kiingereza na anaishi kupitia taaluma ya ualimu sekta binafsi anayoiponda mpwayungu village
Nini ufanye! Tafuta fani yoyote nje ya taaluma Yako Ili upate ajira. Mfano ualimu wa GS au Civics Kwa sekondari au ualimu wa shule za msingi za binafsi. Nje ya hapo basi tafuta vibarua vya kujitolea na kulipwa laki Kwa mwezi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mchawi ni mtaji na janga kubwa, kasema hana mtaji.
Labda umpe wazo la kupata mtaji
Tafuta kitabu kinaitwa 700 prayers to clear unemployment, kipo amazonHakiii Mwaka huu nisipitwe. I pray.
Inasikitisha ,inaumiza ,inachoma sana! Mwenye kumsaidia huyu ndugu kupata shughuli ya kufanya afanye hivyoNimemaliza chuo tangu 2019, nimekuwa niki apply kazi kupitia ajira leo, na sehemu mbali mbali zinazotangazwa, ila hadi sasa ivi sijabahatika kuajiriwa.
Sasa sijui ni hii course niliyosomea, au ni nini? Nimesomea International Relations, natamani hata nifanye biashara ili niweze kujikwamua shida mtaji nao ni swala gumu,maana familia yangu hatuna uwezo kivile, na nilisomeshwa ili niwasaidie wazazi, ila ndio niko nyumban.
Mwaka huu mwenye kunisaidia hata kwa mawazo tuu ili nipate ajira nitashukuru sana
Huyu mtu anahitaji ajira kwanza jamani tuwe serious hata kidogo! Huyu mtu anatakiwa atoke nyumbani kwanza apate shughuli hata ya kumtoa nyumbani kwanza sio lazima iwe serikalini!Tafuta kitabu kinaitwa 700 prayers to clear unemployment, kipo amazon