Nifanye nini ndugu zangu

Aseee handsome kama ww 😱😕 chuo kikubwa Tz nzima uwezi kosa mwanamke mwingine bnana ebu jarib na mwngne maana ww handsome sana etii
 
Yaani napiga picha jinsi ulivyokuwa umependezaaaaaaa!!!!!!kudadadeki
 
We mkomalie tu mpaka kieleweke yaani ikibidi toa na machozi mbele yake kabisa na akikuambia ana mtu,mwambie na wewe ni mtu.SAWA?

Halafu kama kichwa chako hakina sebule,achana na mademu wa Chuo ni pasua kichwa utagraduate 2nd year.

hapo tu ni jkt samtyms hata mafuta mlikua hampaki sasa unaenda chuo kweny urembo wa kila aina....be careful young boy..
 
Hahahhahhahahahah...huyu dogo kanichekesha sana,asee hii BRN kweli ni janga katika taifa na dunia kwa ujumla wake..
 
Gangamara tu mpaka kieleweke, umeshasema unampenda sana sasa yanini kukata tamaa bhanaa!!!

Last edited by a moderator:
Hahahhahhahahahah...huyu dogo kanichekesha sana,asee hii BRN kweli ni janga katika taifa na dunia kwa ujumla wake..

Brn inaingiliana vipi na mapenzi au mwenye akili darasani ndio fundi wa mapenz?inamaana maprofessor ni mafundi wa mapenzi dah mkubwa nahisi una upeo mdogo wa kufikiri
 
Brn inaingiliana vipi na mapenzi au mwenye akili darasani ndio fundi wa mapenz?inamaana maprofessor ni mafundi wa mapenzi dah mkubwa nahisi una upeo mdogo wa kufikiri

Ninapozungumzia BRN kuathiri watu hawa,naamisha ule uwezo wakufikiri,nakujua nizumgumze nn wakat gan,na nizungumze jambo gan katika jambo husika,sasa kwa mfano anaposema yupo chuo kikubwa dodoma na tz kwa ujumla,hilo linaingiliana vipi na jambo ambalo analiombea ushaur??kwa hiyo ndio kusema hata wewe una upungufu wa akili timamu kama siyo mpumbavu ikiwa hauon tatizo katika uwasilishaji wa hoja yake...
 
Kweli elimu Tanzania hovyo kabisa, mwanafunzi aliyehitimu elimu ya secondary na kuchaguliwa chuo kikuu (chuo kikubwa) lakini unaandika utumbo wa namna hii?

Huwezi hata kupangilia riwaya yako? ulitakiwa kuandika point muhimu tu na watu wangekuelewa.
 
We mkomalie tu mpaka kieleweke yaani ikibidi toa na machozi mbele yake kabisa na akikuambia ana mtu,mwambie na wewe ni mtu.SAWA?

Halafu kama kichwa chako hakina sebule,achana na mademu wa Chuo ni pasua kichwa utagraduate 2nd year.

Paragraph ys pili, natamani nikutumie kapo vocha ukanunue kifurushi,pokea LIKE!
 
handsome katika chuo kikubwa Dodoma na Tanzania nzima..... mwenzio anaogopa msululu.. hahaha
 
Kuna mengi ambayo yamemfanya dada wa watu akukatae sisi inatuhusu nini kutuambia unasoma chuo kikubwa wewe ilikua uwasilishe mada tukupe ushauri .
 
Ni kushauri bwana mdogo; mapenzi ya chuoni kuwa mwangalifu sana watu huishia kuchomana visu, wengine kudisco. Chuoni usije ukampenda binti as if nimkeo ukweli ni kwamba ataolewa na watu wenye maisha yao coz hapo hataona future na wewe wote mnategemea boom, tena mwnyewe utamwambia mtaoana mkisha maliza chuo wote mpo kitaa hamna kazi kwanza utaona kuoa mda bado sana coz hujajipanga kimaisha hata kazi huna.

Hapo we piga shule wa kuoa wewe bado sana.
 
dogo soma raha sivo sap zinakusubir take note.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…