Nifanye nini mume wangu abadilike?

Nifanye nini mume wangu abadilike?

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
 
Pole sana ni ttz la wanaume wengi siku hizi tuko HVO je huyu mumeo ni mtu wa pwani, au mnyamwezi mana Tabia nyingne za kurithi waswahil wasema kesho ina Mungu
 
Mshawishi akope mnunue hata uwanja ili akatwe apokee salary ndogo matumizi yatashuka tu.Ni aibu kukosa hata kiamba kwa noti hizo hapo simama kama father house.
 
Na wewe gawa mshahara wako. punguza ujinga wewe mwanke Na nimeshakujua. hizo laki 6 alimpa dogo aamze biashara sasa unawashwa nini?



kama VP tembea kwenu Na kikazi chako cha ovyo hicho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom