Fanya hivi..Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
Wanaume wengine mpaka wasaidiwe majukum na wanaume wenzao ndio wanapo jua thaman ya mwanamke katika ndoaJaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
Umeandika.haya mume.yuko wapi kwa sasaJaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana

Anatakiwa afuate nyuki ili ale asaliWanaume wengine mpaka wasaidiwe majukum na wanaume wenzao ndio wanapo jua thaman ya mwanamke katika ndoa
Njoo piem tutete kinagaubaga
Naaaamm huwa sipend kabisa swala la mwanamke kunyanyasika katika ndoa kwa namna moja au nyingineAnatakiwa afuate nyuki ili ale asali
Ndugu maisha yanaenda kasi sana leo tunacho kesho hatuna kwel mtu unagawa hela kama unajua kesho???Inaonyesha wewe pia una roho ya kwanini, ameshakusoma hupendi asaidie, hapo ndipo unapo mkwaza, maana unaposema anagawa tu lakini hiyo hiyo ndiyo njia Mungu anambariki nayo, kwani mmeshawahi kulala njaa?
Sema shughuli unayo mzee baba huko pm utakutana na kiranga, hujamjua huyu vizuri.Naaaamm huwa sipend kabisa swala la mwanamke kunyanyasika katika ndoa kwa namna moja au nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba no zake nimuombe laki saba alobakiza