M ms beaty New Member Joined Mar 22, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Jun 27, 2015 #1 Niliajiriwa erolink recruitment mwaka 2011 na kuresign mwaka 2013 lakini mpaka sasa hawajaniwekea hela zangu NNSF.Nimefatilia wananiambia nisubiri..naomba mchango wa mawazo
Niliajiriwa erolink recruitment mwaka 2011 na kuresign mwaka 2013 lakini mpaka sasa hawajaniwekea hela zangu NNSF.Nimefatilia wananiambia nisubiri..naomba mchango wa mawazo
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,517 Jun 27, 2015 #2 Endelea kufatilia hadi kieleweke!,hao jamaa wa NSSF,ni wasumbufu kweli!!!!.
M ms beaty New Member Joined Mar 22, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Jun 27, 2015 Thread starter #3 Nnsf hawasumbui tatizo erolink hawajaweka hela kipindi chote
C Casoli New Member Joined Jul 3, 2013 Posts 2 Reaction score 1 Jun 27, 2015 #4 Just go talk to them lest u use them
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,728 Reaction score 34,859 Jun 27, 2015 #5 ms beaty said: Nnsf hawasumbui tatizo erolink hawajaweka hela kipindi chote Click to expand... Ni kosa la jinai ikibainika mwajiri hakupeleka michango ya mwajiriwa kwenye mfuko wa jamii. Maofisa husika wanashtakika vzuri kabisa
ms beaty said: Nnsf hawasumbui tatizo erolink hawajaweka hela kipindi chote Click to expand... Ni kosa la jinai ikibainika mwajiri hakupeleka michango ya mwajiriwa kwenye mfuko wa jamii. Maofisa husika wanashtakika vzuri kabisa
D DIKE JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 370 Reaction score 159 Jun 27, 2015 #6 NSSF kuna watu wamewaajiri kwa ajili ya kumfuatilia mwajiri apeleke mafao yako. Deal na NSSF wenyewe watadeal na mwajiri wako.
NSSF kuna watu wamewaajiri kwa ajili ya kumfuatilia mwajiri apeleke mafao yako. Deal na NSSF wenyewe watadeal na mwajiri wako.