Nifanye nini iwapo ninaona viashiria vya kampuni ya kitapeli kama zilivyokuwa Rifaro Africa na Kalynder iko mbioni kuanza kazi zake?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,298
3,972
Ninasikitishwa sana na hizi kampuni zinavyoongezeka na kujaribu kutapeli watanzania.
Kusema kweli katika hali yoyote,huwezi kupata utajiri bila Ku risk.Lakini ku risk huku kwenye hizi kampuni,inaweza kuwa jambo linalouma sana kwa vile wengi hutarajia serikali inaweza kuwalinda na utapeli wowote wa jinsi hii.

Tumekuwa tukidhulumiwa pesa na makampuni ya simu,kwa line yako kuuzwa kwa mtu mwingine hata kama ina salio la pesa kwenye akaunti kisa tu hujaitumia miezi mitatu.

Sasa hapa kuna kampuni moja inatarajia kuanza lakini ni wale wale akina Kalynder.Niripoti wapi ili kuepusha watu wasitapeliwe?
 
Watanzania wanapaswa kuelewa kuwa hakuna hela nyepesi. Hakuna hela isiyo na mbegu ya Jasho.
 
Back
Top Bottom