Nifanye Nini Ili Nimsahau!!

Duu pole,wakati we unendelea kumuwaza yeye yu hali gani je anakutafuta kama zamani?na je maisha yake kwa sasa anaendeleaje yaaani ameachana na mume wa mtu au bado yuko naye?mliwahi kuzungumzia hayo mashitaka ya kudanganyana?maana how comes mtu akudanganyie mtoto mfu na hai (may b she has depression over the death of her baby)hataki kuukubali ukweli hii hujitokeza sana kwa mtu wa karibu anapokufa -maana ni ngumu kwa hali ya kawaida kudanganya uongo huo ili iweje? otherwise nakushauri kama unafikiri bado ana nafasi kwaajili yako na amekubali toka moyoni kuacha njia zake mbaya anzen upya (they say its better be with devil you know than new angel you dont know)
 
Simple sana kumsahau....wacha kuomba omba ushauri wa jinsi ya kumsahau....
 


Ni rahisi sana, maamuzi.
 
Yawezekana alikuwa anakupa vitu hadimu kwako cjui kama utamsahau kirahisi hivyo
 
mr muone km sehemu ya tatizo, jichanganye na marafiki na pia unapokuwa peke yako pendelea kusoma vitabu, kuangalia movie au kusikiliza music hasa wa din itakusaidia sana
 
Kwani unaishi naye mtaa mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…