unajiendekeza kuwa mwanaume mwenye misimamo thabiti.2pakule songa mbele c mambo ya kulia lia hapa
Asante sana inabidi nifanye hivyo maana naona nikiwa bize namsahau japo kwa muda..Kuwa busy na ishu zako za maana mkuu pia jichanganye na rafikizo, usikubali kuwa idle muda mrefu itakusaidia!!!
Asante sana mkuu..unajiendekeza kuwa mwanaume mwenye misimamo thabiti.2pakule songa mbele c mambo ya kulia lia hapa
Njoo kwangu nitakusaidia jinsi ya kumsahau pls
Alikuwa ni mpenzi ambaye tulidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Niligundua kanificha mambo mengi muda wote niliokuwa naye. Aliwahi zaa mtoto akafariki, ila mimi alinidanganya kuwa ana mtoto na anaishi na dada yake. Pia nilikuja kugundua baadae kuwa anatembea na mume wa mtu, hii ndio ilikuwa sababu kubwa ya kumuacha. Tatizo nililo nalo hivi sasa ikiwa ni miezi sita tangu tuachane, hanitoki kabisa mawazoni. Naombeni ushauri ni namna gani nitaweza kumtoa mawazoni ili niendelee na maisha yangu?
tafuta mtu mwingine wa kukudanganya, vikikushinda rudi uombe ushauri.Alikuwa ni mpenzi ambaye tulidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Niligundua kanificha mambo mengi muda wote niliokuwa naye. Aliwahi zaa mtoto akafariki, ila mimi alinidanganya kuwa ana mtoto na anaishi na dada yake. Pia nilikuja kugundua baadae kuwa anatembea na mume wa mtu, hii ndio ilikuwa sababu kubwa ya kumuacha. Tatizo nililo nalo hivi sasa ikiwa ni miezi sita tangu tuachane, hanitoki kabisa mawazoni. Naombeni ushauri ni namna gani nitaweza kumtoa mawazoni ili niendelee na maisha yangu?
alikuwa ni mpenzi ambaye tulidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Niligundua kanificha mambo mengi muda wote niliokuwa naye. Aliwahi zaa mtoto akafariki, ila mimi alinidanganya kuwa ana mtoto na anaishi na dada yake. Pia nilikuja kugundua baadae kuwa anatembea na mume wa mtu, hii ndio ilikuwa sababu kubwa ya kumuacha. Tatizo nililo nalo hivi sasa ikiwa ni miezi sita tangu tuachane, hanitoki kabisa mawazoni. Naombeni ushauri ni namna gani nitaweza kumtoa mawazoni ili niendelee na maisha yangu?