Usikubali kubeba mimba kabla ya ndoa.Itakula kwako!
khaaaaa! Yaani kumbe mnajijuaga kuwa mnatulipizia! Lol!unaogopa mimba kuliko zinaa siyo? Ukimwi mmeshapima? Ingia kwenye ndoa naye aanze kukulipizia.... Chezeya sisi vidume?
Kubali mimba! Kwanini hauko tayari kubeba mimba?
Unaogopa mimba kuliko zinaa siyo? Ukimwi mmeshapima? Ingia kwenye ndoa naye aanze kukulipizia.... Chezeya sisi vidume?
Rutta,what if Marry is your very own daughter,utamshauri hivi?
duh miaka kumi na mbil iliyopita nilikuwa form 1 kudadek jamaa bnamoyo kweli mi mwanamke miez 3 tu inatosha kukuvutia punzi else natupa kule then kipind chote icho lazma ntapunguza kujiamin ata kama nitakuwa nawewe .jichek jamaa anawez kukupa kibut cha aja umlele mtoto peke yako .ogopa mbwa koko akipata upenyo ata ikibidi kung'ata atang'ata ili aponye nafsi yakenilifahamiana na huyu kaka miaka kumi na mbili iliyopita,
vibinti vinaogopa mimba kuliko dhambi na ukimwi lol
mimba phobia
yaani mwanamme nikimtamani tamani tu, nambebea mimba lol
mayai yenyewe mnayabania wakati hata kwenye chips hayauziki.
Nimebakiza kupata mimba ya Bishanga tu