dah !nafikiri huyo dada analijua tatizo la yeye kutokuzaa ndio sababu hataki kwenda hospitalini lol hii dunia ione tu inazunguka jamani .wewe cheti chako cha ndoa kinaruhusu ndoa ngapi?tuanzie hapo
NDUGU YANGU nimekaa na mawazo,Kuna muda nashikwa na hasira natamani nimuambie ukweli lakini naona kama naweza kusababisha madhara makubwa kama sio kwakwe,ni kwa yule mwanamke ambaye amekubali kunizalia mtoto wa kwanza,na amekuwa radhi kuniongezea mwingine,au hata kwangu pia maana nimeshaanza kuona dalili za ushirikina
Kaka tafuta wataalamu wa saikolojia uende na huyo mke wako,ingawa nakulaumu kwa maamuzi ambayo umeshayafanya
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mjomba2011 naomba uni PM namba ya waifu wako, nina dawa ya kupaka ya kuleta watoto kwenye ndoa.
Dawa inapakwa usiku kwenye chumba chenye giza totoro, haruhusiwi kusindikizwa na mtu mwingine yoyote.
:smile-big:Sitaki kutoa pongezi kwa maamuzi yz kutafuta mtoto nje ya ndoa ila kwa mbali naona tatizo kwa mkeo.....Kama ulivyosema mkeo anakataa kwenda kupata vipimo vya afya yake ni wazi anajua chanzo cha tatizo lake na kwa kuwa aliidhamiria ndoa kuliko matokeo ya ndoa ni wazi hata ungemfunga mikono na miguu kamwe asingekubali kwenda hospitali...Matokeo ya ukatili wake ni sababu ya kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto kwani naamini yeye na hata familia yake inajua mchezo mzima. Angalizo..siku utakapo mwambia una mtoto out of ndoa atalipokea hili jambo kwa furaha ila amini usiamini wanawake wenye tatizo hili hawakawii kutoa uhai wa m2. Nakushauri ubadilishe staili ya kuishi nae, kwanza usiulize tena kuhusu kwenda hospitali ila jifanye kauzu, pili jitahidi kumpa nafasi ya upendo wake kama mke ambao naamini sasa umepungua au haupo tena kwani huko nyumba ndogo unavutwa na damu yako, tatu baada ya kitambo kidogo i.e hadi mwaka ukitekeleza kwanza na pili hapo juu kaa na mkeo katika hali ya kimahaba umuulize mkasa mzima, naamini utaambiwa vitu ambayo vinaweza kukuliza kwa kumwonea huruma au kukujaza hasira kwa kumwona mzembe ila upokee vyote katika hali ya upendo wa hali ya juu na Mwisho nakushauri umpe nafasi ya upendo moyoni mwako kwani miaka 10 ya ndoa yako inatoa picha ya maisha mazuri mliyokaa pamoja. Sina la kushauri kuhusu nyumba ndogo ila waweza rejea viapo vyako vya ndoa.
Nampaka usoni tu, wala usiwe na shaka, ila tu mwanga hautakiwi kuwepoBujibuji japokuwa una dawa hiyo, mimi mwenyewe pamoja na kuwa na matatizo na mke wangu (siyo ya uzazi) siwezi kuruhusu umpake hiyo dawa!
:smile-big:
Ndugu yangu sio kukimbia kimbia,Hadi kufikia hatua ya kuamua kuzaa huko nje,ni Kiburi na maudhi yake,Kitu ambacho wakati wa uchumba hakikuwepo.mpaka imefikia hatua ya kwenda kwa waganga.Nimejitahidi kuwa mvumilivu kutokuongea lakini haisaidii.
Kuhusu uhakika wa mtoto nina uhakika kwa sasilimia zaidi ya 90,kwann nasema hivyo?nimefuatilia siku za dada niliyezaa nae zaidi ya mwaka moja na nusu,mpaka kuamua kuzaa nae tayari alishatoa mimba zangu zaidi ya 3,ilikuwa ikiingia namwambia toa,NIKIWA NAJIPA MOYO LABDA HUMU NDANI ITAKAMATA,WAAAAPI HADI LEO
Kumbe kuna wakati wanawake mambo mengine tunajitakia wenyewe!
Nashukuru sana kwa ushauri wako nimefurahi kwa jinsi ulivyochambua maelezo yakoMkuu nahisi kama sijakuelewa, siijui elimu picha.
mjomba2011 naomba uni PM namba ya waifu wako, nina dawa ya kupaka ya kuleta watoto kwenye ndoa.
Dawa inapakwa usiku kwenye chumba chenye giza totoro, haruhusiwi kusindikizwa na mtu mwingine yoyote.
mjomba2011 kumbe tayari una mji mwingine hofu ya nini? Mtambulishe tuu watumbuane akitaka kuondoka umruhusu ili uweze kulea watoto wako kwa uhuru zaidimjomba2011 hizo mimba tatu una uhakika nazo kwa maana ya vipimo? Kama anaweza kubeba mimba ina maana mke wako hana matatizo; chunguza sababu inayopelekea mimba kutoka inaweza kuwa unamfanyiza sana kazi au wewe ni mkali sana kwa mkeo[/QUOTE
Ndachuwa.Mimi ni msomi wa degree tena sio moja ndugu yangu,Mimba ninazokuambia sio kwamba ni za mke wangu wa ndoa.MKE WANGU WA NDOA HAJAWAHI HATA KUSHIKA MIMBA IKAHARIBIKA,Hizo tatu ninazokuambia ni za huko nje ila sio kwa wanawake tofauti hapana ni kwamwanamke mmoja