Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

Wacha mboyoyo kijana, nyeto ina faida nyingi na madhara kidogo sana.

Labda uwe na uraibu. Kitu ambacho hata nmapenzi ya kawaida ukishakua na uraibu lazma uteseke

Ndimi mjumbe wa CHAPUTA nawasilisha
Kama ni uchaguzi wako ni sawa, ila binafsi NO KUBWA,
Nipige mashine kabisa ama nikae nisipige, yote yanawezekana
 
Nadhani kwa sababu labda iyo selta ndo inaonekana kama selta kubwa sana, ila bado kuna faida nyingine pia mbali na hizo. Naweza kusema duniani mambo yangeweza kwenda fresh tu bila wewe bwana Flames ila amini kwamba wewe ni mtu muhimu sana kwenye hii sayari
Jitahidi kuwa na vitu legitimate ama kama unaweka pembeni yaache fanya mambo makubwa kama kina Newton ambao hawakuoa
 
Ngono inarudisha Maisha nyuma , Mimi naona punyeto ni salama Sana maana wapigaji punyeto ni watu wenye maendeleo makubwa ya kimaisha na kifikra mfano dronedrake kimaisha yupo vizuri , then sio kila Mtu anafagilia ngono
 
Tunamfahamu kwa jina tu ila kwamba ana maendeleo hatufahamu. Ila watu wanaofanya mapenzi wenye maendeleo naweza kukutajia:

1. Mcheki Diamond Platnumz
2. Mcheki Mo
3. Mcheki Mark

Ishara kwamba sio kambi nyet ni watoto waliowapata ama mahisiano ambayo bado wanayo, nk
 
Wee hujawahi pata "me time " na mlenda vuguvugu.
Nakwambia faida yake ni kubwa mno.
Kwanza no std.
Pili unaweza gegeda wanawake watatu kwenye bao moja
Tatu... Hamna kutuma nauli....buku mbili tuu mzeya,
 
Wee hujawahi pata "me time " na mlenda vuguvugu.
Nakwambia faida yake ni kubwa mno.
Kwanza no std.
Pili unaweza gegeda wanawake watatu kwenye bao moja
Tatu... Hamna kutuma nauli....buku mbili tuu mzeya,
Brother, sijawahi na sitawahi
Yani hata kwny imagination yangu sijioni nikifanya ivyo. Naona ni easy kutulia kutokufanya chochote kuliko kufanya kwa njia hiyo.
Kuna kipindi nilikuwa nateseka napokosa wakati ninahitaji ila nilikuja kugundua ni kujiendekeza. Acha kujiendekeza. Kama hautaki mahusiano ya commitment, kuwa hata playboy kama playboy haisaundi gudi kuwa playman, cheza smart, piga zako show yako/zako tulia fanya mambo yako mengine
 
SWALI LA MSINGI HAPA NI KWA NINI WATU WANAPINGA NDOA?
 
Hapana mzee mie napenda mlenda vugu vugu ni hatari! Bao moja lakini umemla paula, suzy na glory. Huoni hapo unapiga hatrick
 
Hapana mzee mie napenda mlenda vugu vugu ni hatari! Bao moja lakini umemla paula, suzy na glory. Huoni hapo unapiga hatrick
Ukiweka mipango mizuri una uwezo wa kuwala wote. In fact hata ukitafuta pisi mbovu unaweza jivua ufahamu ukamvisha sura zote hizo na unakuwa na bonus ya huyo unaemla anakuwa ni wa 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…