T tinya Member Jan 4, 2010 77 30 Mar 11, 2012 #1 Habari zenu wapendwa! naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar? Naomba mnisaidie plz?
Habari zenu wapendwa! naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar? Naomba mnisaidie plz?
Mani H Senior Member Mar 25, 2011 180 46 Mar 11, 2012 #2 tinya said: Habari zenu wapendwa! naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar? Naomba mnisaidie plz? Click to expand... mkuu jaribu kutoa maelezo ya kina, kwa maelezo yako watu watashindwa wakushauri nini, labda nikuulize unakiasi gani ? na unafanya kazi gani?
tinya said: Habari zenu wapendwa! naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar? Naomba mnisaidie plz? Click to expand... mkuu jaribu kutoa maelezo ya kina, kwa maelezo yako watu watashindwa wakushauri nini, labda nikuulize unakiasi gani ? na unafanya kazi gani?
MAMA POROJO JF-Expert Member Nov 22, 2007 4,974 785 Mar 12, 2012 #3 Korosho inalipa, waone Bodi ya Korosho, nunua bangua na kuuza