dreams and visions
Member
- Jul 8, 2017
- 95
- 29
Unaishi nyumbani ? Umepanga ? Umeshapata wazo la biashara ? Ningekua mimi ningekamata hizo 400k kukuza kamtaji kidogo huku nikifikiria biashara ya part time.Mimi ni kijana wa kiume,nmemaliza chuo mwezi huu. Nasubiri vyeti mwisho wa mwaka ambapo ajira rasmi inaweza kuwa mwakani. Kwa muda huu ninafikiria nifanye biashara(nina mtaji wa 500,000) au niajiriwe kwenye taasisi flan kwa malipo ya 400,000 kwa mwezi. Jee kipi sahihi kufanya kwa muda huu?
Ndoto yang n kuwa na mafanikio makubwa ya biasharaNdoto yako ni ipi?
Ukipendacho zaid kat ya hvyo utakifanya kwa umakin na mafanikio zaid
Nmepanga! Lakin bado nina sapot ya home! Ninazo business ideas nyingi sana!Unaishi nyumbani ? Umepanga ? Umeshapata wazo la biashara ? Ningekua mimi ningekamata hizo 400k kukuza kamtaji kidogo huku nikifikiria biashara ya part time.
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
AsanteKama kazi yako haitakubana sana ningekushauri ufanye vyote, otherwise nenda kafanye hiyo kazi kama kwa mwezi utaweza save atleast TZS 180k endelea na kazi after 1yr utakua umepush capital yako so unaweza fanya biashara na kupata return nzuri.
Nmesoma Customs and Tax Managementumesoma programme gani?
Fanya vyote ,huku ukikuza mtaji wakoNmesoma Customs and Tax Management
Asantefanya biashara utest ideas zako.
ikifeli (sitegemei) bado unaweza kuendelea kutafuta kazi.
"Dunia iliendelea kwa biashara ". Waziri Maiga
anza kidogo anza sasa ...
Good! Thank you!Chukua hiyo ajira ya 400k, baada ya mwezi uangalie mazingira ya kazi kama yanaruhusu kufanya biashara(namaanisha muda wa kusimamia biashara yako) au tafuta fursa hapo kazini na uitumie kuongeza kipato cha ziada.
Ni vizuri hasa kuwa na security wakati wa kuanza biashara hasa kama hauna uzoefu, maana hata ukikwama utakuwa na back up. Ajira hiyo ya 400k itakuwa security. So ajira itakusaidia kuongeza mtaji wako na kukupa ulinzi lakini pia itakusaidia usitumie mtaji wako kwa mahitaji binafsi.
Biashara yako ikishasimama unaweza kuacha hiyo kazi yako ili ufanye biashara yako full time.
Asante kakaJiajiri kuajiriwa ni utumwa mdogo wangu pambana hakuna kisichowezekana ktk dunia hii