HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Nakushauri endelea na huyu wa sasa kwa sababu ulikutana nae ukiwa hujui kama wanamahusiano na yule wa zamani na hivyo imetokea accidentally, kwa hiyo jamii itakuchukulia poa tu, kwani mawasiliano kukosekana na wazamani ndo problem. lkn kwa sababu ishakuwa, na unampenda wa sasa. kula uroda tu mwanangu. huyo wa zamani mpotexee kiaina.*** Wakuu, nimepokea email to kwa Bwn Joachim wa Magu, Mwanza anaomba ushauri kwa kisa hiki ***
Miaka michache nyumba nilipata msichana ambaye tulipenda sana na kukubaliana kuoana. Kabla ya uyaweka mambo hadharani, binti huyu alipata nafasi ya masomo kabla ya ndoa na kwenda nchi za watu na kwa bahati mbaya masailiano baana yetu yalikatika. Nilikuja kupata taarifa kuwa alirudi na nilifanya juhudi za kumtafuta bila mafanikio.
Mwaka jana nilipata msichana mwingine na tukakubaliana kufunga ndoa.Siku mmoja, mtarajiwa wangu mpya alikuja na album na kuanza kunionyesha picha za familia yake yote kama maandalizi ya awali ya ndoa. Nishtuka kukuta picha ya yule mchumba wangu wa zamani, na nilipojaribu kumuuliza huyu ni nani aliniambia kuwa ni mdogo wao wa mwisho wa mama yake mzazi!
Siku moja nikiwa nimetoka kazini, nilimkuta huyo mamaye mdogo nyumbani kwangu (ambaye alikuwa mpenzi wangu zamani) kaja kusalimia. Alijifanya hanifahamu nami pia nikampotezea ila baada ya kutoka hapo kwangu ameanza kunifuatilia kwa simu nivunje uhusiano na huyu mchumba wangu maana bado yeye ananipenda na kuendelea na huyu mwanae nitakuwa sijatenda haki kwa kutembea na mtu na mamaye mdogo, loh!
Wakuu naomba ushauri, nifanyaje, niachane na huyu binti? Maana huyu wa zamani sina upendo wa kumrudia na huyu wa sasa kuendelea naye nitakuwa nimetembea na mtu na ***** mdogo, jamii itanionaje?
HP
Awachane na wote mana asiwe yeye sababu ya kusabaratisha family hio.
Mwanaume siku zote lazima awe anatazama mbali sana haswa katika mambo ya kuweka mke ndani.
Ndo mana vitabu vya dini viliktaza kufanya sex kabla ya ndoa, Mungu asifiwe.
Kwani mpaka hapo mlipofikia huyo mpenzi wako wa sasa si umeshado nae?kumuacha wala haimake sense cause kama ni kuwado wote umeshawado!!
Kama hawezi kuachana nao mshauri wewe unshauri wako."Aachane na wote" hili nalo neno!
Kama hawezi kuachana nao mshauri wewe unshauri wako.
*** Wakuu, nimepokea email to kwa Bwn Joachim wa Magu, Mwanza anaomba ushauri kwa kisa hiki ***
Miaka michache nyumba nilipata msichana ambaye tulipenda sana na kukubaliana kuoana. Kabla ya uyaweka mambo hadharani, binti huyu alipata nafasi ya masomo kabla ya ndoa na kwenda nchi za watu na kwa bahati mbaya masailiano baana yetu yalikatika. Nilikuja kupata taarifa kuwa alirudi na nilifanya juhudi za kumtafuta bila mafanikio.
Mwaka jana nilipata msichana mwingine na tukakubaliana kufunga ndoa.Siku mmoja, mtarajiwa wangu mpya alikuja na album na kuanza kunionyesha picha za familia yake yote kama maandalizi ya awali ya ndoa. Nishtuka kukuta picha ya yule mchumba wangu wa zamani, na nilipojaribu kumuuliza huyu ni nani aliniambia kuwa ni mdogo wao wa mwisho wa mama yake mzazi!
Siku moja nikiwa nimetoka kazini, nilimkuta huyo mamaye mdogo nyumbani kwangu (ambaye alikuwa mpenzi wangu zamani) kaja kusalimia. Alijifanya hanifahamu nami pia nikampotezea ila baada ya kutoka hapo kwangu ameanza kunifuatilia kwa simu nivunje uhusiano na huyu mchumba wangu maana bado yeye ananipenda na kuendelea na huyu mwanae nitakuwa sijatenda haki kwa kutembea na mtu na mamaye mdogo, loh!
Wakuu naomba ushauri, nifanyaje, niachane na huyu binti? Maana huyu wa zamani sina upendo wa kumrudia na huyu wa sasa kuendelea naye nitakuwa nimetembea na mtu na ***** mdogo, jamii itanionaje?
HP
Aaah huyo labda hana msimamo.. Angekuwa ametembea nao wakati anajua hapo ndio ingekuwa ishuu.. Aendelee na huyo mpenzi aliyenaye na cha msingi amweleze ukweli mapema ili huyo mama mdogo asije akaleta ngendembwe baadaye..!
Hofu ni kuwa asije mamdogo wake akaanza kugombana na mwanae kumgombania jamaa, itakuwa mbaya zaidi!