Anatafuta ukichaa huyu maana adenosine inamfanya mtu ku relax pia.Ukafanyiwe upasuaji mkubwa, utolewe compound moja inayoitwa adenosine hii ndiyo inayosababisha usingizi.
Hahaha wakuu nime note ushauri wenu asanteniChoma moto godoro,uza kitanda na lowanisha sehemu zote unazohisi unaweza lala
Uza godoro mkuu
Apply kazi ya ulinzi asubuhi kazini usiku kazini
siku utakayolala utafukuzwa kazi hapo ndio njia pekee ya kudhulumu usingizi
Ndo hivyo mkuuChoma moto godoro,uza kitanda na lowanisha sehemu zote unazohisi unaweza lala
choma godoro,kitanda,makochi halafu tengeneza kiti cha chuma halafu pale kwa kukalia ichomewe misumari ya inch 5 halafu ukitaka kusoma ivo vitabu vyako au ukitaka kuangalia tv kalia icho kiti!nakuapia hakyanani hutopata ucngizi aslani!Wakuu mimi nilikuwa nachangamoto ambazo zilinisumbua kidogo Wanawake na Usingizi hivi vitu nimetafuta namna ya kuviacha kama sio kuvipunguza .Wanawake nimeweza ileweke sikuwa mtu wa zinaa sana ila nataka nisiwafikirie kabisa hilo nimeweza kwa kiasi yani niko neutral now sina gal niliyemuweka moyoni akanichanganya akili Sasa Swala usingizi ni shida kwangu Natamani nisilale kabisa Masaa 24hrs nina vitabu na mambo mengi ya kujifunza kupitia mitandao nahisi usingizi si chochote si lolote zaidi unanipotezea muda napumzika vya kutosha kwa kukaa nakusoma vitabu ninapokuwa free katika eneo la kazi but still nkirudi nyumbani najikaza mwisho saa saba nalala Nataka kuijenga akili yangu isilale hata wiki ivi nifanyaje wadau situmii kilevi na wala sitapendeleaa ushauri wa kutumia vilevi au Mihadarati je kuna athari nisipolala? kumbuka sifanyi kazi all the time napata muda mwingi wa kupumzika but nat kulala yani chilling na kusoma vitabu au kutaza vipindi vya Tv kumbuka kwa saa nalala masaa 5 mpaka 6 nahisi kupoteza muda kwa ulalaji huo
Mbona simple sana!! Wewe ikifika hiyo mida ya kulala ogea maji yenye upupu.