Nelson noah
Member
- Feb 8, 2013
- 10
- 0
Nisaidieni wana jf course ya kusoma nianze na certificate kwa sababu sina muelekeo nina d zote na c ya n
Ualimu kama ni chaguo lako na lilikuwepo mawazoni mwako elekea huko ila kama haikuwa chaguo lako pita njia mkato anza cheti hatimae utafika maisha ni moyo usikate tamaa wengi wana four kama zako na wapo pazuri sasa