NIENDE MWECA AU SAUT mwanza

Nakushauri ufate moyo wako unachopenda...mwecau kiko poa kiko moshi mjini kilimita kama 9 ivi kutoka chuo cha ushirika....sauti pia nikizuri sana maana now wanatoa elimu bora kwa eastafrica...sasa fanya maamuzi sahihi usifate habari za sijui kupara mademu angalia wapi parakufaa wew...na pata kua na tija katika maisha yako kwa baadae..ni hayo tu
 
Nimedondosha baadhi ya herufi apo..nazani umeelewa si unajua tena mambo ya smartphone
 
Hakika ubarikiwe mpendwa,,,
 
vyote hovyo! walimu wa sifa wanawatoa wapi, walimu wa kuokoteza, vyote hovyo, we nenda kokote upate li karatasi urudi uchape "kazi"!
Hahahahahaha,,,umetshaaa inaonekana hauko sawa aliye kuuudhi msamee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…