Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,755
me sijamjibu nimemwambia kwanza nijifikirie sasa wapendwa nishaurini niende au nimpotezee tu?
Unazuga tu! ningeshangaa kwenye pesa ukataeanza kuomba msamaha kwa yaliyopita na akadai kilichomleta yeye anataka kusafiri na huko anakoenda atakaa kwa muda wa miez mitatu hivo anaomba niende nikakae kwake ili kumuangalizia nyumba yake mpaka ataporudi maana hapo kwake kuna mlinzi tu na house boy,pia akanambia akirudi kuna pesa atanipatia kama zawadi..me sijamjibu nimemwambia kwanza nijifikirie sasa wapendwa nishaurini niende au nimpotezee tu?