S snail JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 462 Reaction score 142 Mar 26, 2013 #21 Miaka 10 co kitu! siunajua maini ya nguruwe co haramu? Kama kitu kinalipa poa tu ila kama unakula kwa kufumba macho bora utemane nae brow!
Miaka 10 co kitu! siunajua maini ya nguruwe co haramu? Kama kitu kinalipa poa tu ila kama unakula kwa kufumba macho bora utemane nae brow!
F Father Peace Member Joined Apr 2, 2012 Posts 17 Reaction score 3 Mar 26, 2013 #22 Toa details zaidi about your relationship ili tuweze kushauri based on the level of your relationship..kirahisi rahisi hivyo no comment!!
Toa details zaidi about your relationship ili tuweze kushauri based on the level of your relationship..kirahisi rahisi hivyo no comment!!
John L. Mihambo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 526 Reaction score 180 Mar 26, 2013 #23 Client wako ana umri gani? Hata hivyo maisha popote mdau!
L Lusoli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 258 Reaction score 80 Mar 26, 2013 #24 Amekupenda! Je ww unampenda? Na kama utapelekwa usisahahau kuhifadhi nauli ili yakianza utoloke coz kula yako tunaihitaji 2015 nina hasira na huo mwaka yaani . .
Amekupenda! Je ww unampenda? Na kama utapelekwa usisahahau kuhifadhi nauli ili yakianza utoloke coz kula yako tunaihitaji 2015 nina hasira na huo mwaka yaani . .