Nielewesheni kwanini simba wamepewa medari..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Jamani naombeni msaada wenu,hii haikua mechi ya fainali,kwanini simba wamepewa medari.?na kama ni utaratibu mbona mwaka jana baada ya kuwaadhibu yanga kwa gori tano hawakupewa medari.?
 
Ina maana we hujui kuwa hapa nchini kwetu tunaruhusiwa kufanya tukio kwanza kisha sheria inatungwa baadae kama itaonekana inafaa? BTW Mnyama ameshika nafasi ya tatu labda wamepewa medari za shaba.
 
Hii nji hii, kila kitu utata utata tu
 
Jamani naombeni msaada wenu,hii haikua mechi ya fainali,kwanini simba wamepewa medari.?na kama ni utaratibu mbona mwaka jana baada ya kuwaadhibu yanga kwa gori tano hawakupewa medari.?

hebu angalia hiyo yenye red uone sababu, yani ufungwe 5 halafu unataka medali!!!!!
 
Simba koko leo kapewa shanga avae kiunon, zile sio Medali...
 
Ina maana we hujui kuwa hapa nchini kwetu tunaruhusiwa kufanya tukio kwanza kisha sheria inatungwa baadae kama itaonekana inafaa? BTW Mnyama ameshika nafasi ya tatu labda wamepewa medari za shaba.

Hahahaha! Umenena mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mi nilicheka mgeni rasmi badala ya kumkabidhi kombe nahodha wa Yanga ili alinyanyue juu na kushangilia pamoja na wachezaji wenzake na mashabiki uwanjani akalinyanyua yeye na kushangilia, naona alijisahau kwa furaha na watu tumeshajua yeye ni mpenzi wa timu ipi.
 
Waliwapa kulinda uhai wa Rage, subiri kesho pesa za Okwi
 
Yanga ni timu ya wananchi, unashangaa nini mgeni rasmi kunyanyua kombe juu?
 
Huu ni utaratibu wa tff wakuwapa medal mshnd wa 1 mpaka wa 3. Kwani na azam nae alpewa jana huko arusha.
 
Sio ajabu, medali zipo aina tatu, DHAHABU, FEDHA NA SHABA. Hata oli,piki mshindi wa tatu hupata medali ya shaba!(Copper) na kuna fedha mshindi wa tatu hupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…