nidhamu ya uoga kwa viongozi

255boy

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
13
Reaction score
4
Awamu ya tano imekua tofauti kabsa na awamu zilizopita.Tunaona baadhi ya viongozi wanafanya kazi kwa kumuangalia mkuu atapenda hiki kitu (kijipendekeza) wakati huo huo wananchi ndio wanateseka ifike hatua tuseme HAPANA na imefika mbali hadi vyombo vya habari vinataka kumfurahisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…