Nmekasirika Sana siku ya leo jamaa wajinga Sana ofisi ileUkitaka huduma mbovu Tz nenda ofisi ya serikali usiyojuana na mtu Yeyote....utajuta
TRA...Poloce
Mahakama.
NiDa...
Na kwingine mnapopajua ninyi....watumishi wengi wa serikali ni mizigo na hawajui wamefuata nini Maofisini
Wanachokijiua wao..
Faida za kuajiliwa na serikali na kudai malipo makubwa na rushwa tu.
Kwa kifupi Dereva wa Lori
Ana kazi kubwa sana kubadili mfumo...uliooza.
Maisha yamekuwa ya shida na chanzo ni idara za serikali
Tarula..
Naye kaletwa ...miundombinu ni mibovu hatari hapa Dar...
Hakuna unafuu wa maisha.
Watumishi wa serikalinwengi wanaongezeka vitambi na sio maarifa na ubunifu wa kazi...wengi
Akili zinapungua....
Matumbo yanaongezeka
Tamaa imekuwa kubwa
Rushwa imepanda bei...
Kwa kifupi.
Kitambulishao Cha Taifa ni Haki ya lazima kupewa mwananchi mtz.
Hawapaswi kukujibu hayo.
Walitakiwa kuchukua taarifa zako tu na si vinginevyo.
Inamaana wamesusa kisa walijitokeza wachache?
Walitakiwa kuendelea kuandikisha kila mwezi kila siku...
Au hata kila miez 2
Kwakuwa wanahitaji ni wengi na wanatimiza vigezo vya umri na mengoneyo wanaongezeka kila leo.
NIDA
Ni mzigo wa Taifa hili na wanajijua.
NIDA WANAPASWA KUFUTUSHWA WOTE NA KUUNDWA UPYA KWA KUHAKIKISHA WALE WAZAMANI HAWARUDI TENA KAZINI.
WAPOTELEEEE MBALIIIOOOO
Yani nida Moro panahitaji mabadilikoAisee km ningekua mimi ningekomaa na Meza moja ningewaambia hapa sitoki hadi niandikishwe, na hakika huyo afsa wa meza iyo asingefanya kaz nyingne. Ningewaambia hapa sitoki hata mkitaka kunifungia umu ndani kesho mtanikuta hapa. NIANDIKISHENI NITOKE
Wanakera sn hawa watu. MA....E ZAO
Pole Sana mkuu wanakela kishenziNiliandikishwa 2013 na wameshatuma msg nije ofs za nida wakati huo gongo la mboto siku niliyofika nikajibiwa mashine iko msongola nikaondoka sijakanyaga tena,wiki iliyopita nikaenda nida w ilala ,wakaangalia kwenye mtandao hata jina hakuna,nikaona Haya mazito.kwa hiyo nianze upyaa.mwaka huu tutaona mengi.
nami nina mpango wa kwenda kugombana nao hapo... nasikia hutakiwi ndala mguuni wala jinzi na fulana... yani watashangaa... hiyo siku maana wengine aise hatunaga muda wa kugombana na wengine ila ukitukosea tutakoseana... na tuna virekodio hivyo rahisi tu kupambana na mjinga hutumii nguvu kubwa...Hao NIDA sio kabisa nilifuata kitambulisho changu pale Dodoma treasure square asubuhi hadi jioni sikukipata wanaishia kutuandika majina nikasepa sikurudi tena nanisha ondoka Dom kitambo nime waachia, ni wasumbufu sana hawa NIDA.
Kapambane nao mkuu wajinga sananami nina mpango wa kwenda kugombana nao hapo... nasikia hutakiwi ndala mguuni wala jinzi na fulana... yani watashangaa... hiyo siku maana wengine aise hatunaga muda wa kugombana na wengine ila ukitukosea tutakoseana... na tuna virekodio hivyo rahisi tu kupambana na mjinga hutumii nguvu kubwa...