NIDA IMEKWAMA KUTOA VITAMBULISHO?

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
NIDA NIDA NIDA

Naskia ZOEZI LA Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa LIMEKWAMA
 
Limekwamia wapi

Sent from my SM-G610F using Tapatalk
 
nenda makao makuu ya nida kesho asubuhi utapata ila usisahau kuja na masululu 3 jembe 1 panga 1kilo 3 ya korosho
 
nenda makao makuu ya nida kesho asubuhi utapata ila usisahau kuja na masululu 3 jembe 1 panga 1kilo 3 ya korosho
Ili IWEJE SASA, UNAJUA INAKERA MNO MNOOO! Hapo tena Dodoma hatuingii Bila vitu hivyo ambavyo HAVITOKI
 
Hili ni swala la Muhimu sana... NIDA
 
Nchi Hii Kila sehemu Ngumu kupenya! Watu Wana miezi wanasumbuliwa Kitambulisho tu! Kama NIDA wameshindwa wasepe
 
Hili jitu linasimama najiudhulu ubunge wangu kumuunga mkono Jiwe.Unafiki wa kiwango cha phd😡😡😡
 
NIDA NIDA NIDA

Naskia ZOEZI LA Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa LIMEKWAMA

Wewe ndiye mgeni peke yako hapa Galilaya!?! Hujasikia kuwa werevu washapiga hela ndefu huko NIDA?!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…