NIDA Arusha utendaji kazi mmbovu

NIDA Arusha utendaji kazi mmbovu

Fechi

Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
64
Reaction score
27
Office ya NIDA Arusha hapo manispaa, ID gani zinatengenezwa mwaka mzima? Kibaya ukienda kuomba namba ili ukaprocess passport hupati msaada. Wanakwambia leta invitation letter ya nchi unayotaka kusafiri. Hii ni kazi ya immigration au NIDA? ID mcheleweshe then kutoa number nako ni kwa urasimu! Why? Baadhi ya ID wamepeleka ofisi za kata tayari lakini wananchi hawapewi taarifa wala ofisi ya NIDA haikwambii nenda kata ukacheck. Kuna dada hapo kasuka kama jogoo, kazungukwa na mabox anajiona kafika kweli...nyodo na njaa 100!!! Mjirekebishe
 
Back
Top Bottom