Mawivu tu hawana lolote hao,wanamuonea wivu Obama anavyopendana na wife wake,coz wao wameshindwa kuishi kama yeye labda, kila siku ugomvi na wife wataacha kutoa mimacho kweli??????badala waige mfano wanabakia kutoa majicho tu,watakoma wataishia kunawa tu kula hawaliiiiii.