Samahani kama ntakuudhi sina wivu maana hata mimi nina gari,hyo Altezza kama iko vzr endelea kuitumia na hiyo pesa ulonayo ifanye izae kibiashara ili mwisho wa siku uwasaidie wahitaji,huku mitaani hali ni mbaya kiuchumi kwa waTanzania.ni mwajiliwa
pekee tu ndo anaweza akashindwa kunielewa
nachomaanisha kwa
sababu yeye ana uhakika
na anaweza akachelewa
kujua vyema hali ya
kiuchumi nje ya box la
ajira.nisamehe kwa
ushauli unaoweza
kukukwaza!