stujadiliane
Member
- Jun 2, 2017
- 66
- 84
Mimi sina uwezo wa kuanzisha chama changu ndo maana nataka kujiunga na vyama vilivyopoKwani lazima ujiunge na chama? mimi nakushauri achana na vyama kuwa independent, uta enjoy life. Siasa hadi wakati wa uchaguzi
mimi nimekushauri achana na vyama sio uanzishe cha kwako.M Mimi sina uwezo wa kuanzisha chama changu ndo maana nataka kujiunga na vyama vilivyopo
Ndugu wana jamii forum.ninakiu kweli ya kujiunga na Siasa .natamani sana kuwa Mwana siasa lakini mpaka sasa sina Chama.
Natamani kujiunga na chama ambacho hakina ubabe wowote wala migogoro. pia sitamani kujiunga na chama kikubwa kama nilivyo vitaja hapo juu.
Nakuomba kama unakijua chama kinachoweza kunilea na kunifanya na Mimi ni julikane kwenye medani za siasa niambie.
Kumbuka nataka chama chenye Siasa bora.chenye uongozi dhabiti .kinacho tekeleza kwa vitendo katiba yake na ya Nchi
Nangojea majibu mema na yenye busara.
siyo kweli mtu wa Mungu mpaka sasa sina chama ila naomba mwongozo na ushauri wakoKuwa wazi ACT unakipigia debe
acha ni vunje mbavu nilikuwa sijacheka leoMakinikia Muhongo Chenge Party ( MMCP )
Ndugu wana jamii forum.ninakiu kweli ya kujiunga na Siasa .natamani sana kuwa Mwana siasa lakini mpaka sasa sina Chama.
Natamani kujiunga na chama ambacho hakina ubabe wowote wala migogoro. pia sitamani kujiunga na chama kikubwa kama nilivyo vitaja hapo juu.
Nakuomba kama unakijua chama kinachoweza kunilea na kunifanya na Mimi ni julikane kwenye medani za siasa niambie.
Kumbuka nataka chama chenye Siasa bora.chenye uongozi dhabiti .kinacho tekeleza kwa vitendo katiba yake na ya Nchi
Nangojea majibu mema na yenye busara.
Sitakiiiiiiiiiiii kwajina la Yesufreemason