Nichama gani kizuri cha kujiunga nje ya CCM.CUF Na CHADEMA

stujadiliane

Member
Jun 2, 2017
66
84
Ndugu wana jamii forum.ninakiu kweli ya kujiunga na Siasa .natamani sana kuwa Mwana siasa lakini mpaka sasa sina Chama.

Natamani kujiunga na chama ambacho hakina ubabe wowote wala migogoro. pia sitamani kujiunga na chama kikubwa kama nilivyo vitaja hapo juu.
Nakuomba kama unakijua chama kinachoweza kunilea na kunifanya na Mimi ni julikane kwenye medani za siasa niambie.
Kumbuka nataka chama chenye Siasa bora.chenye uongozi dhabiti .kinacho tekeleza kwa vitendo katiba yake na ya Nchi
Nangojea majibu mema na yenye busara.
 
Kwani lazima ujiunge na chama? mimi nakushauri achana na vyama kuwa independent, uta enjoy life. Siasa hadi wakati wa uchaguzi
 
Ndugu wana jamii forum.ninakiu kweli ya kujiunga na Siasa .natamani sana kuwa Mwana siasa lakini mpaka sasa sina Chama.

Natamani kujiunga na chama ambacho hakina ubabe wowote wala migogoro. pia sitamani kujiunga na chama kikubwa kama nilivyo vitaja hapo juu.
Nakuomba kama unakijua chama kinachoweza kunilea na kunifanya na Mimi ni julikane kwenye medani za siasa niambie.
Kumbuka nataka chama chenye Siasa bora.chenye uongozi dhabiti .kinacho tekeleza kwa vitendo katiba yake na ya Nchi
Nangojea majibu mema na yenye busara.

Makinikia Muhongo Chenge Party ( MMCP )
 
Imekula kwako kwani hakuna chama makini zaidi ya CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom