Computer engineering & Computer science ndo haziwezekani ila ICT unasoma kama kawaida. Ninaye rafiki yangu ni HGL ila kasoma bachelor of scince with ICT ( UDOM Class of 2015 )Ict kwa HGL mkuu how yan
FACULTY??? Unaweza kusoma faculty wewe? Acheni utani bana. Huwezi kusoma faculty.. Elimu Elimu Elimu
Subiri matokeo kwanza yatoke.Wapendwa katika social networks nawasalimu kupitia Jamii Forums.
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Nimehitimu kidato cha sita mnamo mwezi huu tar. 9. Ambapo nilikua nachukua masomo ya Arts History.. Geography na Language. Katika masomo yangu hayo na combi yangu hiyo ya Hgl. Nimejikuta napata taabu sana katika uchaguzi wa FACULTY ambayo ni nzuri na inapriority hapa Tanzania kwa sasa. Ninaomba msaada wenu wanajamii JF. Wenzangu.. Nichague FACULTY GANI!!? Natumaini wengi mlipita hukuhuku ninapopita mimi saa hii.. Kwaivyo mnauelewa mkubwa kuusu haya mambo.. Ninaomba nisiwe muandikaji sana.. Nitoe fursa sasa ya kupata ushauri kutoka kwenu wadau..
Hivi unaweza kusoma ICT bila kusoma science advance?Kama unatokea familia ya kawaida, soma
Bachelor of education with ICT ( Teaching subjects: GL )
Hutojuta - Thank me later !
Huwezi kusoma Computer Science au Computer Engineering bila kusoma sayansi ila kwa ICT hata arts wanasoma.Hivi unaweza kusoma ICT bila kusoma science advance?
Naomba kikuulize mdogo wangu ...hapo kabla ulitamani kuwa MTU wa aina gani kama ukishakuwa MTU mzima...maana naamini ndoto za maisha ya kufanikiwa huanza mbali ...ili tukushauli vizuri taja vipao mbele vyako kwanza katika taaluma.....nasi tukusaidie...Akhsante.. Nashukuru sir.
Furesh.Jifunze kwanza kuandika!
Xhida,CIO,2......ndio nini?
Umekua Mkubwa wewe! Hebu acha ufacebook facebook
Wapendwa katika social networks nawasalimu kupitia Jamii Forums.
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Nimehitimu kidato cha sita mnamo mwezi huu tar. 9. Ambapo nilikua nachukua masomo ya Arts History.. Geography na Language. Katika masomo yangu hayo na combi yangu hiyo ya Hgl. Nimejikuta napata taabu sana katika uchaguzi wa FACULTY ambayo ni nzuri na inapriority hapa Tanzania kwa sasa. Ninaomba msaada wenu wanajamii JF. Wenzangu.. Nichague FACULTY GANI!!? Natumaini wengi mlipita hukuhuku ninapopita mimi saa hii.. Kwaivyo mnauelewa mkubwa kuusu haya mambo.. Ninaomba nisiwe muandikaji sana.. Nitoe fursa sasa ya kupata ushauri kutoka kwenu wadau..
Huenda.. Ikawepo nzuri zaidi ya malengo yangu.Ina maana ulikuwa huna malengo kabisa tangu ukiwa upo shule???? Interesting
FORM 6 KWENYE UBORA WAKO
Daaah aisee unabadili gia angani au sioHuenda.. Ikawepo nzuri zaidi ya malengo yangu.
Ndo maana nikaomba msaada.. Cio kila kitu kipo katika malengo.. Vingine ata jamii uliopo inaweza ikainfluence ur life.Huenda.. Ikawepo nzuri zaidi ya malengo yangu.
Ndo vile.Daaah aisee unabadili gia angani au sio