4ncymelody
Member
- Apr 5, 2017
- 17
- 3
Cio.. Xhida... Nasomeshwa na ukoo mdau.. Watajichanga. 2Wazazi wako wanaweza kukulipia ada ya chuo? Tuanzie hapo kwanza.....
Maana kuna wenzio wengi sana mwaka Jana halafu science kabisa ila hawakuramba kitu! Na home maisha ndio Yale wazazi wamejikongoja kukulipia elfu 20 na elfu 70 advance!
Maandalizi mapema... Mdau.. Ka unazifahamu nitonye tu.Subiri kwanza matokeo ndiyo uulize
Duh! Apo cjakupata vizuri mdau.. ICT. then nifundishe GL.?Kama unatokea familia ya kawaida, soma
Bachelor of education with ICT ( Teaching subjects: GL )
Hutojuta - Thank me later !
Nadhani sasa ndo wakati ambapo kiuhalisi unatakiwa usome kitu ambacho unakiweza na unaweza best katika hicho,, maana hivi karibuni watu wengi tulikuwa kunachangua vitu kulingana na priorities za serikal na kupata loan,,Wapendwa katika social networks nawasalimu kupitia Jamii Forums.
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Nimehitimu kidato cha sita mnamo mwezi huu tar. 9. Ambapo nilikua nachukua masomo ya Arts History.. Geography na Language. Katika masomo yangu hayo na combi yangu hiyo ya Hgl. Nimejikuta napata taabu sana katika uchaguzi wa FACULTY ambayo ni nzuri na inapriority hapa Tanzania kwa sasa. Ninaomba msaada wenu wanajamii JF. Wenzangu.. Nichague FACULTY GANI!!? Natumaini wengi mlipita hukuhuku ninapopita mimi saa hii.. Kwaivyo mnauelewa mkubwa kuusu haya mambo.. Ninaomba nisiwe muandikaji sana.. Nitoe fursa sasa ya kupata ushauri kutoka kwenu wadau..
Akhsante.. Nashukuru sir.Nadhani sasa ndo wakati ambapo kiuhalisi unatakiwa usome kitu ambacho unakiweza na unaweza best katika hicho,, maana hivi karibuni watu wengi tulikuwa kunachangua vitu kulingana na priorities za serikal na kupata loan,,
Na tuliacha kusoma vitu tulivokuwa tukivipenda na kuviweza na kufuata upepo ,,but mambo yamebadilika vimekuwa sio vipaumbele tena vya serikar na huwezi kuvitumia ktk maisha yako ulijikuta tu umeenda ,,
Me nakushaur soma kitu unachopenda , unachoweza kuwa best ktk hicho,,,
Jifunze kwanza kuandika Mkuu.Duh! Apo cjakupata vizuri mdau.. ICT. then nifundishe GL.?
Jifunze kwanza kuandika!Cio.. Xhida... Nasomeshwa na ukoo mdau.. Watajichanga. 2
Kabla ya kuchaguaMaandalizi mapema... Mdau.. Ka unazifahamu nitonye tu.
Ict kwa HGL mkuu how yanKama unatokea familia ya kawaida, soma
Bachelor of education with ICT ( Teaching subjects: GL )
Hutojuta - Thank me later !