Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Kopa m-pawa wabongo utarogwa uuze kwa laki
Anaitwa kibilingisha kimbaMkuu, avatar yako imenikumbusha mbali sana!
Huyo mdudu, aisee!
Si useme tu kuwa una shida na umelazimika kuuza TV kwa laki moja! Hakuna ubaya!
Wewe ni nani Jamii Media hadi uelekeze namna ya kuitumia JF? kama kuweka bondi mali yangu ni kukoswa akili timamu, uangalie huo utimamu wako tena.Wewe humu jf sio sehemu ya kutafuta hela, nenda huko Facebook, instagram, whatsapp, n.k. hapa ni sehemu yenye watu wenye akili timamu
Unafahamu kipi kuhusu wanaonizunguka? Ushauri wako sijaupokea. Asante.habari mkuu. kwa ushauri tu kopa kwa jirani yako au rafiki yako, ishi vizuri na watu wanaokuzunguka.