Niazime laki 1, naweka bondi TV Flatscreen. Ntarudisha laki na 20.

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Guys,
Naomba kwa mwenye Laki 1 aniazime, naweka bondi TV Flatscreen yangu (HomeBase, 18"). Ntarudisha next week laki na 20. Nipo Tabata Bima. Tuwasiliane kwa namba 0692 021670
 
habari mkuu. kwa ushauri tu kopa kwa jirani yako au rafiki yako, ishi vizuri na watu wanaokuzunguka.
 
Wewe humu jf sio sehemu ya kutafuta hela, nenda huko Facebook, instagram, whatsapp, n.k. hapa ni sehemu yenye watu wenye akili timamu
 
Wewe humu jf sio sehemu ya kutafuta hela, nenda huko Facebook, instagram, whatsapp, n.k. hapa ni sehemu yenye watu wenye akili timamu
Wewe ni nani Jamii Media hadi uelekeze namna ya kuitumia JF? kama kuweka bondi mali yangu ni kukoswa akili timamu, uangalie huo utimamu wako tena.
 
Back
Top Bottom