Kariba una kiwanja wewe?umekitoa wapi???sema mimi ni dalali nauza kiwanja tegeta mil 13 ambayo sina uhakika sana kama ndio bei yake itakuwa bei ya mwenyewe ni 10m hiyo tatu umeongeza wewe,na kwa tegeta kiwanja bei rahisi hivyo lazima kina mgogoro au umeamua kuuza eneo la wazi,madalali mnachoshaaaaa
Khabari wanajamii! nina kiwanja changu nakiuza kiwanja kipo maeneo ya tegeta wazo mtaa wa umoja road, kiwanja kina ukubwa wa mita 35 kwa 40 bei yake ni ml 13 miundo mbinu ya umeme, maji, barabara ipo kiwanja kinatazamana na barabara ya mtaa ni eneo zuri kwa ujenzi wa nyumba ya makazi na fremu za biashara kama ukipenda. kwa anayehitaji please 2wasiliane 0714 107 215, dalali hatakiwi
Million 13 kiwanja cha TEGETA ambapo kila siku migogoro haiishi HAPANA bana labda waje wengine mie nimenunua Chamanzi tena heka kwa milion 4 na huko foleni kama unavoona ni historia