Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 872
Kila mtu anakipaumbele chake kijana,. ila angalia mshiko wako ukoje, kwangu mimi naona kununua usafiri ni cheap, kuliko kujenga, kiwanja dar vinaanzia 8 million na am sure utajenga for years, kiwanja utachonunua kitakaa tuu, labda kama unazo za kutosha au una uhakika wa kupata fedha za kuweza kujenga mapema. for me nunua gari if u have little money, then baadae nunua kiwanja na uendelee kujenga. watu bado wana mitazamo ya zamani ya kujenga wakati enzi hizo ujenzi was cheaper than kununua gari. Vitz inasave sana mafuta, so ruuning cost will be cheap.
I second you! Mimi nilinunua kwanza kiwanja, then gari, then nikaja kujenga somewhere else! Kile kiwanja hata sijaenda miaka 3 sasa !!!