Niambie hivi unakumbuka wapi?

umenikumbusha kipindi cha ualimu ni wito. Siasa za kipindi hicho kama Vile UPE, Azimio la Iringa, Azimio la Musoma, tulikuwa tunapewa madaftari na vitabu bure. hakuna tuition, mwalimu anategemea mshahara wake tu. rushwa ilikuwa hakuna kipindi hicho na Somo la Siasa amabyo katiba ya CCM pia unafundishwa ni lazima miaka hile.
 
shule ya msingi, miaka ya 70 hiyo, siku zimeenda tangu tutoke huko
 
Shangazi yangu alIkuwa anafanya kazi bohari ya elimu home yalijuwa hayakauki na kwa kipindi hicho ilikuwa gari inayoleta ikifika tunachaguliwa wanafunz wenye mbavu tukashushe hapo pia sherehe yakupewa na yakuchomo unaridi nayo kibao
 
Enzi, hizo buku likijaa unapeleka kwa mwalimu analichana kdg then unapewa jengine.

Penseli unapewa skuli, kalamu, mabuku, hadi kampas box unapewa skuli plus na kikombe cha uji.
 
Daaaah limenitoa chozi..

Mi sijasoma zamani sana - early 90's - lakini nilitumia madaftari hayo!!!

Enzi hizo elimu ilikuwa raha sana...na walimu walikuwa na moyo kuliko hawa wa siku hizi!!!

Umenikumbusha Kibo Primary na Shule ya Moshi (Moshi, Kilimanjaro)...enzi za kupeleka kuni shule na kisado cha maharage.

Umenikumbusha UMITASHUMTA na ukaguzi wa usafi kila Jumatano!

daaah umenikumbusha mbali sana mkuu...
 

kakukumbusha mbali kweli ila hilo la machozi mmmmh unayo tu ya karibu
 
Enzi, hizo buku likijaa unapeleka kwa mwalimu analichana kdg then unapewa jengine.

Penseli unapewa skuli, kalamu, mabuku, hadi kampas box unapewa skuli plus na kikombe cha uji.

Wakati huo elimu ilikua bure tangu darasa la kwanza mpaka chuo kikuu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…