Niache nilalee

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
nimechoka kweli leo

:help::help::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::love::love::love:
 
Attachments

  • baby.jpg
    18.5 KB · Views: 1,400
Ananikumbusha mjeda mmoja (babu Said au babu Side) ambaye alikuwa mpishi pale Makongo Sekondari...
 
haha h mzee mtabe sana yule katesa watu sana bora lalivyodanja tu......
 
Usimfananishe na marehemu Miraji yule jamaa mkorofi hata kwa wazazi wa wanafunzi...

Huyo Babu Side kazi yake ilikuwa ni upishi tu na alikuwa anashinda jikoni, kwa ukubwa wa lile tumbo hata kukimbia nahisi hakuwa akiweza.
 
kweli nimechanganya nimemkumbuka side jamani ivi yupo? miraji ndo alikufa
 
Hata sijui ndugu yangu alipo, miye sikuwa mwenyeji wa makongo ila nilipata kumuona tu wakati fulani hapo...tumbole ndilo lililonifanya nimkodolee macho
 
hata mimi ni mda umepita sasa loh nimeshazeeka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…