Ni yule nabii elisha wa dooma

Superboy

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
45
Reaction score
6
Haya sasa; kuna habari hapa mjini dodoma yakwamba yule nabii anayefanya shughuli zake za kinabii maeneo ya jamatini karibu na stendi ya daladala, kamtia mimba mwanafunzi. Nikipata mda mzuri nitawapa mchanyato mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…