Lisu kama yeye hajajiandaa kugombea uchaguzi mkuu hiyo ni shauri yake hao wenxie G55 na wa udiwani hao 200 nchi nzima watia nia wamejiandaa kwa muda mrefu kugombeanjaa mbaya saana!!!👿
An old man writing useless ideas.Matumaini yao hao G55 na wenzao 200 matumaini yao ni kushinda uchaguzi wamejiandaa kushinda
Na maandalizi wameyafanya kwa muda mrefu hawajaanza leo
Kwahiyo unasema wao wanatumaini No reform no election itaangukia pua na bado wapo CDM sio? waende wakagombee kupitia vyama vingine sisi tunajua 2025 hakuna uchaguziLisu kama yeye hajajiandaa kugombea uchaguzi mkuu hiyo ni shauri yake hao wenxie G55 na wa udiwani hao 200 nchi nzima watia nia wamejiandaa kwa muda mrefu kugombea
Wataondokaje wakati hiyo no reform no election waliopitisha baraza kuu hata akidi haikutimia na kesi iko kwa msajili na akina Lisu wameambiwa wajibu malalamiko kuwa hayo maamuzi na wajumbe wa kamati kuu waliopitishwa na baraza kuu walipitishwa kinyume cha katiba ya ChademaKwahiyo unasema wao wanatumaini No reform no election itaangukia pua na bado wapo CDM sio? waende wakagombee kupitia vyama vingine sisi tunajua 2025 hakuna uchaguzi
Waende kwenye vyama vinavyo kubali kisindikiza na sio kushinda, kama unajitambua unavukaje mto wenye mamba wakati unaona wenzako waliovuka wameliwaMatumaini yao hao G55 na wenzao 200 matumaini yao ni kushinda uchaguzi wamejiandaa kushinda
Na maandalizi wameyafanya kwa muda mrefu hawajaanza leo
Wao kama wao walifanya utafiti wakajua wanaweza wewe nani wa kuwazuia?Waende kwenye vyama vinavyo kubali kisindikiza na sio kushinda, kama unajitambua unavukaje mto wenye mamba wakati unaona wenzako waliovuka wameliwa
Kila siku Heshima ya waTanzania inazidi kupata Doa.Kama wewe ni mtulivu na hauwazi only Tumbo lako,hauwezi kujizima Data kiasi cha kutaka watanzania wajaribu Uchaguzi Mkuu 2025.Matumaini yao hao G55 na wenzao 200 matumaini yao ni kushinda uchaguzi wamejiandaa kushinda
Na maandalizi wameyafanya kwa muda mrefu hawajaanza leo