stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 812 Reaction score 1,753 Jul 7, 2026 #1 Ni yapi matibabu sahihi ya Tezi dume?
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,868 Reaction score 1,975 Jul 7, 2026 #2 Mkuu, fika hospotali ili kufanya kipimo cha PSA, mpango wa matibabu utafanyika hapo baada ya majibu.
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,569 Reaction score 21,097 Jul 7, 2026 #3 Itategemeana na ukubwa wake, mara nyingi huwa ni kwa njia ya surgery. Kama imesha-advance kwenda kwenye kansa, hiyo ni habari nyingine kabisa.
Itategemeana na ukubwa wake, mara nyingi huwa ni kwa njia ya surgery. Kama imesha-advance kwenda kwenye kansa, hiyo ni habari nyingine kabisa.
M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,635 Reaction score 5,681 Jul 7, 2026 #4 After vipimo wakajua ina ukubwa gani then watakueleza wenyewe ila ni vizuri mgonjwa akafanyiwa surgery kama yupo financilly fit
After vipimo wakajua ina ukubwa gani then watakueleza wenyewe ila ni vizuri mgonjwa akafanyiwa surgery kama yupo financilly fit