Ni wivu au nini...?

warumi

it hurts my dear, it realy does.. Bora umtaje rafiki yako wa zamani ambaye hamjui kuliko umtaje rafiki yake yeye, anapatwa na feeling flan hivi kama anaweza kuibiwa any tym
 
Last edited by a moderator:
Hahah hataki baby uibiwe,even in her imaginations...
 
Matani mengine yanaendana na kweli.uckute huyo rafik yake ni mkali zaidi yake dat y anajawa na wivu plus wasiwas..kweny mambo ya nampenda nan mtajane wenyew..siku akutanie"Yule rafiki yako mrefu mrefu handsme mweny prado nimetokea kumpenda" itakuw mwisho wa utani nadhan
 
Childish behaviours....Hayo c mapenzi ila ni utoto mnafanya n one day things are going to fall on u. Cku anakujia na hicho kidume anachosema anakipenda ndo utajua how far in the world of ridiculousness have u sunk.
Unajua power of Jealousy wewe?
Kuna mwanamke alikuwa na "a face that lauched a thousand ships" ... sasa kasome ni kwanini hizo meli 1000 ziliingia vitani kwa sababu ya mtu mmoja
 

mmh mapenzi yenu ya kitoto kabisa kabisaaa (mi mtt ndo mana nayajua)
 
Dah kwenye ishu ambayo huwez kuprove kama kweli au la utani haufai kabisa. Tena mentioning names ur not serius
 
Wivu ni kawaida kwa kila mtu.
Lakini huyo wako ni kwamba hajiamini,!
 
Nyote akili zenu sawa hata wewe unaojinadi hauna wivu kwahiyo hakuna atakeyemuongoza mwenzake! poor u all..
 
ofcourse ni wivu.... She loves you so much n will never let u go

Wivu haimaanishi kuwa anakupenda saana!La!Anaweza akawa na chaguo jingine ila tu basi imeshindikana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wivu haimaanishi kuwa anakupenda saana!La!Anaweza akawa na chaguo jingine ila tu basi imeshindikana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
hatakama sio sana ila upendo upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…