Ni wivu au nini...?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,471
Sometimes uwa tunataniana na mpenzi Wangu ,

Unakuta yeye anamtaj mtu Fulani kuwa anampenda sana,

Basi na Mimi uwa namtajaga rafiki yake kuwa nampenda sana,

Cha ajabu nikimtaja rafiki yake tu anabadilika anakuwa mpole,

Anasiz flani anakosa na raha kabisa,

Hasemi kitu hadi namuonea huruma kwa kweli,

Nashindwa kuelewa kwa nini anakosa amani nikimtaja rafiki yake Huyo,

wakat Mimi akitaja kuwa anampenda flani wala sishtuki,

Nashindwa kuelewa kwa nini inakuwa ivi?
 
Nyie wote hamjielewi, yaani mnaanza kutaja kila mtu anaempenda mnashindwa kutajana kuwa mnapendana?
 
ofcourse ni wivu.... She loves you so much n will never let u go
 
mnunulie rafikie zawadi ya thamani halafu umwambie kile alichonacho rafikio mimi nimemnunulia
 
warumi
hii ni nini mkuu hata usishangae kabisa..
 
Last edited by a moderator:
Haya mapenzi ya dotcom generation ni full comedy aisee! Sasa sijui huwa mnawaza nini kuanza kufanya huo upuuzi!
 
mlio nao ni utoto, yeye na wew pia, huwezi kua mnapenda alafu mkawa mnatajiana upuuzi kama uwo,
 
ninyi ni wanandoa au mnafanya dhambi? taizo wote hamjielewi!
 
mubadilishane basi coz kila mtu anamtaman rafiki sio mbaya japo kwa siku kila mtu akienda kwa huyo anayemtaman then mrudi na matokeo ya mlikoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…