Ni wasaa wa kufungasha virago kwa hizi Bodi na menegimenti!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
Hizi ni taasisi na mashirika ya umma ambayo kwenye repoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2014/15 imetoa damning report and opinion kuhusu utendaji na uendeshaji wake uliosababisha mabilioni ya pesa za Watanzania kupotea.

Nitashangaa sana nikiziona hizi bodi na menegimenti zake zikiendelea kuwepo kwa muda mrefu hasa ikichukuliwa kwa sasa kuna serikali ambayo haifumbi macho katika kutekeleza majukumu yake ya usimamizi wa mali za taifa.

Kwa mtu mwenye fikra pana ambaye yuko kwenye bodi au menegimenti hizi lazima atakuwa kwa sasa akijiandaa kufungasha virago kwa sababu atafahamu kile kinachokuja baada ya repoti kuifikia ofisi ya Rais Magufuli.

Kwa wale vichwa maji na Tomaso wa kwenye Biblia, subirini lungu liwaangukie wakati hamkujiandaa!

1)Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL)

2)Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)

3)Mamlaka ya Udhibiti Mawasiliano Tanzania (TCRA)

4)Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA)

5)Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)

6)Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC)

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO
 
Mashirika mengine hayana tija kwa Taifa ni ya kufutilia mbali kama SSRA, wameshindwa kabisa kismamia hii mifuko hela zetu zinaliwa na wajanja, RITA, NIDA zingeunganishwa lipatikane shirika moja tu, sajili vifo na vizazi toa na vitambulisho kwa hao waliozaliwa, mashirika meeengi kupeana sehemu za kupiga dili tu.
 
Unazungumzia bodi ya UDA?Sisi UDA tumetoa zawadi kwa mstaafu wetu acheni majugu yenu.Kwani hamjui last born ndiye mkurugenzi kwa niaba? Acheni wivu.ccm ileile.
 
Yote hayo Magufuli ayaache atumbue busha linaitwa CHAMA CHA WALIMU (C.W.T) kisha awarudie hao mashirika ya umma. Ipigwe kura walimu wanaotaka CWT iendelee kuwepo na makato yao ya 2% au ichomoke walimu waishi kama watoto wa bata.
 
Back
Top Bottom