Nahitaji kuanza Kulima mbaazi huko Morogoro.
Waungwana, naomba kujulishwa soko la uhakika ntapata wapi?
Na je ni kweli viwanda vya kutengeneza biskuti vinanunua hzo mbaazi?
Naomba kuwasilisha...

Mbaazi ni zao lenye soko lisilotetereka. Bei yake ipo juu na haipungui mia saba kwa kilo hadi elgu moja kutegemea msimu. Arusha kuna soko kubwa la uhakika. Inafahamika kwamba India ni watumiaji wakubwa mbadala wa dengu. Nadhani inaitwa pigeon peas kwa Kimombo.