vyeti vya aina gani unazungumzia?? Kama ni vya kitaaluma na umethibisha kwamba yeye siyo mmiliki halali wa vyeti hivyo karipoti polisi maana hiyo ni criminal case!!
Hata kama alikuwa hajigambi bado anastahili kuadhibiwa kisheria,..
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?
Toa copy peleka polisi, NECTA kama ni wa kundi hilo au TCU kama ni higher learning pia usisahau PCCB. Kwa taasisi zote hizo lazima moja itaamka. Unaweza andika anonym letter (isiyo na jin awala address) ukiandikia wakuu wa taasisi zote tajwa na pelaka. Kwa hiyo watatafutana na jamaa kazi kwisha i.e andika pale juu kama fuatavyo: Wakuu wa aasisi, Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), Taasisi ya Elimu ya Juuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Bara.
Jina ni josephat charles ni mwalimu ana2mia vyeti vya kaka yake ambaye ni afisa u2mishi mkoa wa kagera alisoma PUBLIC ADMINISTRATION & POLITICAL SCIENCE -UDSM.
Jina ni josephat charles ni mwalimu ana2mia vyeti vya kaka yake ambaye ni afisa u2mishi mkoa wa kagera alisoma PUBLIC ADMINISTRATION & POLITICAL SCIENCE -UDSM.