Habari za majukumu! nakusalimu popote pale ulipo unaposoma waraka huu!
Jamani Mimi ni mjasiliamali mdogo kwa sasa! Na hapa Nina bata wakubwa 33 majike na madume ! Naomba kujua wapi naweza nikapata SOKO lao! Na hata kama ni wewe uko interested waweza kuwasiliana nami kwa Namba ya simu ni 0756688789,nipo iringa-mtera.bei ni tsh 25,000/= kwa dume na 15,000/= kwa jike!
Natashukuru kwa msaada wako ama ushaur wako!
#0756688789